Mintirafu ya Kamati ya Usimamizi.
Wanachama wa kamati ya usimamizi: Michael Barutciski (York), Don Dippo (York, CCR link), James Milner (Carleton), Donald Galloway (Victoria), Delphine Nakache (Montreal), Jalal Abbasi (Tehran), Ranabir Samaddar (Calcutta), Alex Betts (Oxford), Roberto Vidal-López (Colombia), Oana Petrica (York, New Scholars link) na wanachama wa (EC).
Mamlaka: Ili kusimamia na kushauri kuhusu usimamizi bora wa mradi ikiwa ni pamoja na mgawanyo wa rasilimali, upanuzi wa mitandao, kupata rasilimali mpya na utambuzi wa masuala ya utafiti.
Mkutano: ni juhudi ya kila mwanachama kujitokeza kila mwaka na Nguzo kamili na kuhuthuria mikutano tatu nay a ziada (virtual).
Minutes
- October 3 2008 (Word Document)
- March 17 2009
(draft minutes, Word document) - November 10, 2009 Management Committee Meeting
- Annual RRN Network Meeting in Toronto, April 28 - 30, 2010
- March 23, 2011 Management Committee Meeting
Categories:




