Mintirafu ya Kamati ya Usimamizi.

Wanachama wa kamati ya usimamizi: Michael Barutciski (York), Don Dippo (York, CCR link), James Milner (Carleton), Donald Galloway (Victoria), Delphine Nakache (Montreal),  Jalal Abbasi (Tehran), Ranabir Samaddar (Calcutta), Alex Betts (Oxford), Roberto Vidal-López (Colombia), Oana Petrica (York, New Scholars link) na wanachama wa (EC).

Mamlaka: Ili kusimamia na kushauri kuhusu usimamizi bora wa mradi ikiwa ni pamoja na mgawanyo wa rasilimali, upanuzi wa mitandao, kupata rasilimali mpya na utambuzi wa masuala ya utafiti.

 Mkutano: ni juhudi ya kila mwanachama kujitokeza kila mwaka na Nguzo kamili na kuhuthuria mikutano tatu nay a ziada (virtual).

 

Minutes

 

Categories: